Washiriki wakisiliza mada ya Haki za Binadamu katika maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mjini Unguja |
Mshiriki akichangia mada |
Washiriki wakisiliza mada ya Haki za Binadamu katika maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mjini Unguja |
Mshiriki akichangia mada |
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya miaka 25 ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar na kumbukizi ya Muasisi wa Kituo Marehemu Prof. Haroub Othman
|
Wanafunzi wakimuombea dua Muasisi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Marehemu Prof. Haroub Othman |
Wanafunzi wakisoma dua |
Wafanyakazi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar wakijumuika na wanafunzi katika kumuombea dua muasisi wao. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. AMIN |
Baadhi ya Maafisa Polisi wa Chuo cha Mafunzo, wakiwa katika mafunzo ya kukumbushwa juu ya Mradi wa Watoto Wanaokinzana na Sheria, yaliyoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar |
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi Saida Amour Abdalla, akimfafanulia Balozi wa Ufaransa Bi. Malika BERAK kazi za Kituo |
Kaimu Mkurugenzi Wa Kituo Cha Huduma Za Sheria Zanziabar Bi Saida Amour akiwasilisha taarifa ya kazi za Kituo kwa mwaka 2017,katika Mkutano hou. |
Mmoja wa washidau wa Kituo Bi Suzani Kunambi akichangia mada baada ya kupokea taarifa ya kazi zilizofanywa na Kituo kwa mwaka 2017. |
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma Zanibar Bi. Saida Amour Abdalla akifafanua aina za talaka |
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa kuandaa mpango kazi wa Kituo wakimsikiliza kwa makini mshauri |
Mshiriki katika mkutano wa tathmini akielezea kwa washiriki wenziwe mafanikio aliyoyapata baada ya mafunzo ya elimu ya uraia aliyopatiwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar |
Washiriki wa mafunzo ya Haki za Binadamu, wakifanya kazi za vikundi |
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Haki za Binadamu wakifuatilia kwa makini mada ya dhana ya udhalilishaji iliyowasilishwa na Afisa Mipango Bi Jamila Masoud ( hayupo pichani) |
Wanafunzi wa skuli mbali mbali za Unguja wakisikiliza mada ya Ukatili wa Kijinsia na Athari za Mimba za Utotoni, iliyowasilishwa na Dokta Fatma kutoka hospitali ya Mnazi Mmoja |
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar kikiwasili katika moja ya skuli ilizotembelea ambayo ni skuli ya sekondari Jumbi kwa lengo la kutembelea klabu ya wanafunzi skulini hapo. |
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Ndijani waliojiunga na Klabu ya Elimu ya uraia wakimsikiliza Afisa Mipango Bw. Ali Haji Hassan ( hayupo pichani) |
Wanafunzi wa klabu ya skuli ya Paje wakifanya igizo la Udhalilishaji |
Washiriki wa Kongamano wakisiliza kwa makini mada inayotolewa, katika Kongamano lilifanyika Ukumbi wa Jeshi la Polisi Chake Chake Pemba |
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya elimu ya uraia kwa vijana wa Baraza la vijana kwa Mkoa wa Kaskazini Unguja yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani tarehe 09 Agosti 2017 |
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya kuwatambulisha Wasaidizi wa Sheria kwa watumishi wa Idara Maalu ( vikosi) SMZ yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mjini Unguja tarehe 09 Agosti 2017 |