Lengo la mafunzo hayo ni kuwatambulisha Wasaidizi wa Sheria kwa Masheha na kuwataka Masheha, kuwatumia Wasaidizi wa Sheria na kushirikiana nao katika kutetea na kuzilinda haki za binadamu.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Bi.Saida Amour Abdallah akifungua mafunzo kwa Masheha wa Wilaya ya Kati Unguja, yaliyofanyika tarehe 13 Septemba 2017 Kijangwani mjini Unguja
No comments:
Post a Comment