Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar kikiwasili katika moja ya skuli ilizotembelea ambayo ni skuli ya sekondari Jumbi kwa lengo la kutembelea klabu ya wanafunzi skulini hapo. |
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Ndijani waliojiunga na Klabu ya Elimu ya uraia wakimsikiliza Afisa Mipango Bw. Ali Haji Hassan ( hayupo pichani) |
Wanafunzi wa klabu ya skuli ya Paje wakifanya igizo la Udhalilishaji |
Wanafunzi wa Skuli ya Kombeni wakiimba wimbo wa kutokomeza udhalilishaji
No comments:
Post a Comment