Mgeni Rasmi, Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi Asya Iddi Hassan ( katikati) akifuatilia igizo kuhusu udhalilishaji , lililogizwa na THESODE ,(hawapo pichani), katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike yaliyofanyika ZLSC Kijangwani tarehe 11 Oktoba 2017 wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa ZLSC Bi. Saida Amour Abdalla akifuatiwa na Mratibu Bi. Jamila Masoud, wengine ni Dokta Fatma wa Hospitali ya Mnazi Mmoja na Bi. Sabra Msellem kutoka DPP |
No comments:
Post a Comment