ZIARA YA WANAFUNZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA KWA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR
Mwanafunzi wa skuli ya Sekondari Kwarara akielezea mafunzo aliyoyapata baada ya kuja kituoni katika ziara ya kukitembelea Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, kilichopo Kijangwani mjini Unguja, ziara hiyo ilifanyika tarehe 03 Oktoba 2017
No comments:
Post a Comment