Akizungumza katika mafunzo hayo, mratibu ambae ni Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi Moza Nzole aliwataka watumishi hao kufuata haki na sheria katika utendaji wao ili kuwafanya raia wawe na imani juu ya vikosi hivyo.
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya kuwatambulisha Wasaidizi wa Sheria kwa watumishi wa Idara Maalu ( vikosi) SMZ yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mjini Unguja tarehe 09 Agosti 2017 |
No comments:
Post a Comment