MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU KWA WATU WALIOATHIRIKA NA UTUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA YALIYOFANYIKA TAREHE 05 OKTOBA 2017
Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Bw. Thabit Abdulla Juma akitoa mada ya Haki za Binadamu kwa watu walioathirika na utumiaji wa dawa za kulevya, katika mafunzo yaliyofanyika ZLSC Kijangwani , mjini -Unguja, tarehe 05 Oktoba 2017
No comments:
Post a Comment