ZLSC YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA VIJANA WA BARAZA LA VIJANA KWA MKOA WA KUSINI UNGUJA JUU YA ELIMU YA URAIA
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Bi Saida Amour Abdalla, akifungua mafunzo kwa Vijana wa Baraza la Vijana kwa Mkoa wa Kusini Unguja, yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC, Kijangwani mjini Unguja, tarehe 14 Agosti, 2017
No comments:
Post a Comment