ZLSC YAFANYA TATHMINI YA MAFUNZO YA UTAYARISHAJI KATIBA NA SHERIA KWA VIJANA WA MABARAZA YA VIJANA YALIYOFANYIKA TAREHE 9 OKTOBA 2017
Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Mohammed Kh. Mohammed akitoa ufafanuzi juu ya tathmini, katika mkutano wa tathmini ya mafunzo ya elimu ya uraia kwa Vijana wa Mabaraza ya Vijana uliofanyika, ZLSC Kijangwani tarehe 09 Oktoba 2017
Mshiriki katika mkutano wa tathmini akielezea kwa washiriki wenziwe mafanikio aliyoyapata baada ya mafunzo ya elimu ya uraia aliyopatiwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
No comments:
Post a Comment