Breaking News

Friday, October 14, 2016

TRAINING FOR THE USE OF PARTICIPATORY APPROACH TO HUMAN RIGHTS EDUCATORS

Training For The Use Of  Participatory Approach to Human
Rights Educators yaliyoandaliwa na Kituo Cha Huduma Za
Sheria Zanzibar na kufanyika katika ukumbi wa Mikutano
hotel ya Mazsons iliyoko  Stonetown Zanzibar

Muwasilishaji akitoa ufafanuzi katika Mafunzo hayo

Washiriki wakiendelea na mafunzo hayo

Bwana Sadiq kutoka THESODE akifanunua sehemu ya video
 inayoonesha mazingira ya ubakaji katika familia nyingi
 Mjini Unguja Zanzibar

Read more ...

MKUTANO WA WADAU WA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR

Wadau wa Kituo Cha Huduma Sheria Zanzibar wakutana
kujadiliRipoti utekelazaji wa kazi za Kituo (ZLSC)
 kwa mwaka 2016 / 2017

Wadau wakiendelea na Kikao hicho




Read more ...

Wednesday, October 12, 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA ADHABU YA KIFO DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Huduma za  Sheria Zanzibar
  Bi Harusi Miraji Mpatani akifungua na kumkaribisha mgeni rasmi
na  wageni waalikwa waliohudhuri katika Maadhimisho ya siku ya
kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika
 Ukumbi wa Haile Selasie Mjini
Zanzibar.
Mgeni rasmi akisoma hotuba yake katika Maadhimisho
 ya siku ya kupinga adhabu ya kifo 
duniani yaliyofanyika
 katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za
Sheria Zanzibar Profesa Chris Maina Peter akitoa mchango
 wake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo

duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za 
Sheria Zanzibar Bi Salma Saadat akitoa mchango wake 
 katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo
duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar


Read more ...
Designed By Published. Moonga Stephen