mafunzo kwa viongozi wa dini na watendaji wa
Serikali za Mitaa kuhusu Ushirikishwaji wananchi
katika utayarishaji Katiba na Sheria.
Mafunzo hayo yalifanyika Tarehe 07 Agosti 2017
katika ukumbi wa Kituo Kijangwani mjini Unguja
kwa lengo la kuwajengea uwezo wa namna Sheria
na Katiba zinavotayarishwa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bw Ali Haji
Hassan akiwasilisha mada ya namna ya ushirikishwaji
wananchi katika utayarishaji Katiba na Sheria katika
mafunzo yaliyofanyika ZLSC Kijangwani
yaliyowajumuisha viongozi wa dini na watendaji wa
serikali za mitaa
No comments:
Post a Comment