KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR, KILIFANYA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU KWA WADAU TAREHE 7 NA 8 OKTOBA 2017 -KIJANGWANI
Washiriki wa mafunzo ya Haki za Binadamu, wakifanya kazi za vikundi
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Haki za Binadamu wakifuatilia kwa makini mada ya dhana ya udhalilishaji iliyowasilishwa na Afisa Mipango Bi Jamila Masoud ( hayupo pichani)
No comments:
Post a Comment