KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR KILIFANYA MKUTANO WA KUANDAA MPANGO KAZI
Picha ya pamoja kati ya wajumbe wa bodi, wafanyakazi, washauri na wadau wengine wa ZLSC katika kuandaa mpango kazi wa Kituo wa mwaka 2018/2022, uliofanyika Z-Ocean Hoteli, Bububu Meli nane kuanzia tarehe 14 hadi 16 Oktoba 2017
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa kuandaa mpango kazi wa Kituo wakimsikiliza kwa makini mshauri
No comments:
Post a Comment