Breaking News
Thursday, December 22, 2016
Wednesday, December 14, 2016
Mgeni Rasmi katika kumbukizi ya Marehem Prof. Haroub Othman wa tatu kulia aliekaa Mh.Ibrahim Mzee Ibrahim akiwa katika picha ya pamoja na Familia ya Marehem Prof.Haroub tarehe 03.Diesemba 2016 katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani. |
Washiriki mbali mbali waliojitokeza katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Marehem Prof.Haroub Othman mwanzilishi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tarehe 03.12.2016 |
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Mh.Masauni Yussuf Masauni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC,Kijangwani tarehe 10.12.2016. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Prof.Chris Maina Peter akiwasilisha mada juu ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar na Haki za Binadamu. |
Tuesday, November 1, 2016
WANAFUNZI WATEMBELEA ZLSC
Picha
ya pamoja ya Wanafunzi kutoka Mikoa
mitatu ya Unguja walipofika Ofisi za Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar kwa ajili ya ziara maalum ya kujifunza kazi zinazofanywa na Kituo hicho. |
Friday, October 14, 2016
TRAINING FOR THE USE OF PARTICIPATORY APPROACH TO HUMAN RIGHTS EDUCATORS
Muwasilishaji akitoa ufafanuzi katika Mafunzo hayo |
Washiriki wakiendelea na mafunzo hayo |
Bwana Sadiq kutoka THESODE akifanunua sehemu ya video inayoonesha mazingira ya ubakaji katika familia nyingi Mjini Unguja Zanzibar |
MKUTANO WA WADAU WA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR
Wadau wa Kituo Cha Huduma Sheria Zanzibar wakutana kujadiliRipoti utekelazaji wa kazi za Kituo (ZLSC) kwa mwaka 2016 / 2017 |
Wadau wakiendelea na Kikao hicho |
Wednesday, October 12, 2016
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA ADHABU YA KIFO DUNIANI
Mgeni rasmi akisoma hotuba yake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini Zanzibar |
Wednesday, September 7, 2016
WANAWAKE WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU ELIMU YA UONGOZI NA UPIGAJI KURA
Tuesday, September 6, 2016
WANASHERIA WA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR WAFANYA ZIARA KATIKA MAHAKAMA YA AFRIKA ILIYOPO JIJINI ARUSHA
Wanasheria kutoka Kituo Cha Huduma Za Sheria Zanzibar wakiwakatika Picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu. |
Friday, September 2, 2016
WAFANYAKAZI ZLSC KITENGO CHA MAHESABU NA ICT WAKIPATIWA MAFUNZO YA QUICKBOOK OFISINI KWAO ZANZIBAR
Saturday, April 23, 2016
HAFLA FUPI YA MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA KAZI KWA ZLSC KUTOKA KWA UMOJA WA ULAYA (EU) KATIKA OFISI ZA UMOJA HUO DAR ES SALAAM.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar akisaini makubaliano
katika makabidhiano hayo.
|
Picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa wa EU baada
ya hafla hiyo.
|
Tuesday, January 26, 2016
WAJUMBE WA BODI YA USHAURI YA KITABU CHA ZANZIBAR YEAR BOOK OF LAW WAKIENDELEA NA KIKAO CHA KUJADILI TOLEO NAMBA NNE LA KITABU HICHO
Wajumbe wakiendelea na Mkutano huo |
Wakipitia hatua kwa hatua |
Profesa Chris Maina Peter (wa tatu kushoto) akichangia mada |
Kwa makini wakisikiliza |
Jaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (wa kwanza kushoto) akipitia vipengele mbalimbali |
Subscribe to:
Posts (Atom)