MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA ADHABU YA KIFO DUNIANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar
Bi Harusi Miraji Mpatani akifungua na kumkaribisha mgeni rasmi
na wageni waalikwa waliohudhuri katika Maadhimisho ya siku ya
kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika
Ukumbi wa Haile Selasie Mjini
Zanzibar.
Mgeni rasmi akisoma hotuba yake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar Profesa Chris Maina Peter akitoa mchango wake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini Zanzibar
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi Salma Saadat akitoa mchango wake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment