Kina mama wajasiriamali kutoka vikundi vya kina mama wa kisiwa cha Pemba wakipatiwa Mafunzo ya Haki za Binadamu na umuhimu wa kina mama hao kujiunga pamoja ili kujikomboa na umasikini,Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ofisi ya Pemba. |
No comments:
Post a Comment