TRAINING FOR THE USE OF PARTICIPATORY APPROACH TO HUMAN RIGHTS EDUCATORS
Training For The Use Of Participatory Approach to Human
Rights Educators yaliyoandaliwa na Kituo Cha Huduma Za
Sheria Zanzibar na kufanyika katika ukumbi wa Mikutano
hotel ya Mazsons iliyoko Stonetown Zanzibar
Muwasilishaji akitoa ufafanuzi katika Mafunzo hayo
Washiriki wakiendelea na mafunzo hayo
Bwana Sadiq kutoka THESODE akifanunua sehemu ya video
inayoonesha mazingira ya ubakaji katika familia nyingi
Mjini Unguja Zanzibar
No comments:
Post a Comment