WANAWAKE WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU ELIMU YA UONGOZI NA UPIGAJI KURA
Mwanasheria Bi Saida Amour kutoka Kituo Cha Huduma za
Sheria Zanzibar akiwasilisha mada katika Mafunzo ya
Wanawake kuhusu Elimu ya uongozi na upigaji kura
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
uliopo katikaOfisi hizo Kijangwani Posta Zanzibar
No comments:
Post a Comment