Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Ofisi ya Pemba Khalfan Amour Mohammed akiwasilisha mada juu ya jinsi ya kuunda ushirika na umuhimu wa kusajili vikundi vya ushirika katika Mafunzo ya wanaushirika yaliyofanyika ofisi ndogo ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ofisi ya Pemba. |
No comments:
Post a Comment