Breaking News

Friday, September 2, 2016

WAFANYAKAZI ZLSC KITENGO CHA MAHESABU NA ICT WAKIPATIWA MAFUNZO YA QUICKBOOK OFISINI KWAO ZANZIBAR

Wafanyakazi wa Kituo Cha Huduma Za Sheria Zanzibar Kitengo cha
mahesabu na ICT wakiwa katika Mafunzo ya namna ya kutumia
Mfumo wa kimahesabu wa Quickbook yaliyoendeshwa kwa siku nne kuanzia
tarehe 29/08 hadi tarehe 01/09/2016 Kituoni hapo Zanzibar   

Wafanyakazi wa Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar Kitengo
cha Mahesabu na ICT wakiendelea na mazoezi ya namna ya kutumia
Mfumo wa kimahesabu wa Quickbook yaliyofanyika
tarehe 29/08 hadi tarehe 01/09/2016 Kituoni hapo Zanzibar   
   

No comments:

Post a Comment

Designed By Published. Moonga Stephen