Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Josefrieda Pereira wa Pili kulia akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii wa tatu kulia Wahida Maabadi, wanaoshuhudia wa mwanzo kulia ni Bi.Saida Mkuu wa Nyumba ya kulelea watoto yatima Mazizini na wa mwanzo kushoto ni Bi.Aisha Mkuu wa Nyumba salama Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment