Breaking News
Monday, August 14, 2017
Friday, August 11, 2017
TATHMINI YA KUJADILI MPANGOKAZI WA KITUO WA MWAKA 2013/2017
Wadhamini, Wafanya tathmini, Wajumbe wa Bodi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, wafanyakazi na wadau wengine, wakiwa katika kikao cha tathmin ya kujadili mpango kazi wa Kituo, uliofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar (UWZ) mjini Unguja tarehe 11 August 2017
Wednesday, August 9, 2017
ZLSC YATOA MAFUNZO KWA VIJANA WA BARAZA LA VIJANA KWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA JUU YA ELIMU YA URAIA YALIYOFANYIKA
KITUO cha Huduma za Sheria Zanzibar chatoa mafunzo ya elimu ya uraia kwa vijana wa baraza la vijana kwa Mkoa wa Kaskazini, Unguja.
Mfunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani tarehe 09 Agosti 2017 kwa lengo la kutoa uelewa wa elimu ya uraia kwa vijana.
Read more ...
Mfunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani tarehe 09 Agosti 2017 kwa lengo la kutoa uelewa wa elimu ya uraia kwa vijana.
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya elimu ya uraia kwa vijana wa Baraza la vijana kwa Mkoa wa Kaskazini Unguja yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani tarehe 09 Agosti 2017 |
MAFUNZO YA KUWATAMBULISHA WASAIDIZI WA SHERIA KWA WATUMISHI WA IDARA MAALUM (VIKOSI) SMZ
Akizungumza katika mafunzo hayo, mratibu ambae ni Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi Moza Nzole aliwataka watumishi hao kufuata haki na sheria katika utendaji wao ili kuwafanya raia wawe na imani juu ya vikosi hivyo.
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya kuwatambulisha Wasaidizi wa Sheria kwa watumishi wa Idara Maalu ( vikosi) SMZ yaliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mjini Unguja tarehe 09 Agosti 2017 |
Monday, August 7, 2017
MKUTANO WA NUSU MWAKA KWA WASAIDIZI WA SHERIA
Mratibu wa Mafunzo ya wasaidizi wa sheria Bi Moza Nzole akiwa katika Mkutano wa nusu mwaka kwa wasaidizi wa sheria kujadili matarajio, mwelekeo mapungufu pamoja na changamoto za mradi wa wasaidizi wa sheria Zanzibar uliofanyika tarehe 07 August 2017 katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani mijini Unguja
MAFUNZO YA USHIRIKISHWAJI WANANCHI KATIKA UTAYARISHAJI WA KATIBA NA SHERIA
mafunzo kwa viongozi wa dini na watendaji wa
Serikali za Mitaa kuhusu Ushirikishwaji wananchi
katika utayarishaji Katiba na Sheria.
Mafunzo hayo yalifanyika Tarehe 07 Agosti 2017
katika ukumbi wa Kituo Kijangwani mjini Unguja
kwa lengo la kuwajengea uwezo wa namna Sheria
na Katiba zinavotayarishwa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bw Ali Haji
Hassan akiwasilisha mada ya namna ya ushirikishwaji
wananchi katika utayarishaji Katiba na Sheria katika
mafunzo yaliyofanyika ZLSC Kijangwani
yaliyowajumuisha viongozi wa dini na watendaji wa
serikali za mitaa
Subscribe to:
Posts (Atom)