Wakili wa watoto kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bw. Thabit Abdulla Juma, akitoa ufafanuzi juu ya mradi wa watoto wanaokinzana na Sheria kwa Askari Dawati walioshiriki mjadala huo, uliyofanyika katika ukumbi wa ZLSC Kijangwani, tarehe 10 Mei 2018
Mshiriki akichangia katika mjadala huo uliyofanyika ZLSC Kijangwani, tarehe 10 Mei 2018
Mshiriki akichangia katika mjadala huo uliyofanyika ZLSC Kijangwani, tarehe 10 Mei 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Bi Harusi Miraji Mpatani, akifungua mjadala kuhusu hatma ya Mradi wa Watoto wanaokinzana na Sheria kwa Mahakimu na Waendesha Mashtaka, uliyofanyika Mazsons Hoteli Shangani Unguja, tarehe 11Mei 2018
Mahakimu na Waendesha Mashtaka wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji, Bi. Harusi Miraji Mpatani (kati kati) akifungua mjadala kuhusu hatma ya Mradi wa Watoto wanaokinzana na Sheria, uliyofanyika Mazsons Hoteli Shangani Unguja, tarehe 11Mei 2018
No comments:
Post a Comment