Mgeni Rasmi Mhe. Mshibe Ali Bakari wa pili kulia akiwa katika uzinduzi wa Ripoti ya 11 ya Haki za Binadamu iliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tarehe 15/06/2017. |
Mgeni Rasmi Mhe. Mshibe Ali Bakari akiwa na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar DPP na Kaimu Mkurugenzi wakionesha kitabu kilichozinduliwa. |
No comments:
Post a Comment