Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi wa ZLSC kusubiria mafunzo ya Haki Za Binaadamu.. |
Afisa Mipango Thabit Abdullah kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC) akiwasilisha mada ya Haki za Binaadamu na nafasi ya Waandishi wa habari kwa jamii. |
Mwanasheria Rashid Abdallah akiwasilisha mada ya Madhara ya Rushwa katika usimamizi wa Haki za Binaadamu. |
Mshauri wa vyombo vya Habari Salim Said Salim akiwasilisha mada kuhusu kanuni, miiko na maadili ya Waandishi wa Habari Kitaifa na Kimataifa. |
Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini mada zinazowasilishwa katika mafunzo hayo. |
No comments:
Post a Comment