Baadhi ya Maafisa Polisi wa Chuo cha Mafunzo, wakiwa katika mafunzo ya kukumbushwa juu ya Mradi wa Watoto Wanaokinzana na Sheria, yaliyoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar kimetembelewa na Balozi wa Ufaransa Bi Malika BERAK kwa lengo la kutaka kujua shughuli mbali mbali zinazofanywa na Kituo.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi Saida Amour Abdalla, akimfafanulia Balozi wa Ufaransa Bi. Malika BERAK kazi za Kituo