Afisa Mipango Bw. Thabit Abdula kutoka kituo Cha Huduma za
Sheria zanzibar (ZLSC) akitoa mada katika mafunzoya vijana
kwa baraza la vijana la Mkoa wa mjini Magharib yaliyofanyika
katika Ukumbi wa mikutano wa Kituo (ZLSC) tarehe 26/07/2017
Dokta Yahya (aliyesimama) ambaye ni mmoja wa walimu aliyekuwa akitoa mada katika Mafunzo ya Wasaidizi wa Sheria yaliyofanyika tarehe 22 na 23/07/2017 Katika ukumbi wa mikutano Kituoni (ZLSC) Zanzibar
Wasaidizi wa Sheria wakiwa makini kumsikiliza mmoja wa Walimu aliyekuwa akiwasilisha mada katika Mafunzo hayo