Mhe Mgeni Rasmi ,Waziri wa Katiba na Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Zanzibar . Haroun Ali Suleiman (katikati) akifuatilia kwa makini kikundi cha Sanaa cha Thesode katika mahafali ya Nne ya Wasaidizi wa sheria yaliyofanyika Tarehe 09 Aprili 2017, Katika Ukumbi wa Kituo Cha Huduma na Sheria -Kijangwani Zanzibar kulia ni Katibu wa Bodi ya Wadhamini Profesa Maina Peter akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi Bi Saida Amour, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi |